Nini Maana yake?

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,639
516
Wanabodi,

Nimekuwa nikipotea njia mida fulani na kujikuta sehemu moja inaitwa kitabu cha uso aka Facebook.

Kwenye hicho kitabu, utakuta mtu katupia picha inaonyesha uso wake basi watu wana'like' sana. Mwingine kaonyesha ameonyoa nywele basi watu wata'like' sana.

Nini maana ya hii kitu?
 
Yako mengi ya JF ya kuulizia. Ya fb usiyaulizie twitter, ya JF usiyaulizie instagram ........ya jirani zako huko Masaki usimwulize babayako_OK?
 
uuupsi hata akiweka new car yake,mwili mzima,papuchi or gegedo itasaidia nini
sion cha ajabu au cha kusaidia mtu anavyoweka kile kilichompendeza au kumhuzunsha kwenye nafsi yake...ile ni page yake na kwenye huo msafara waache wampe like zake
 
Ulivyotetea utakuwa mdau wa hii kitu.
 
Back
Top Bottom