Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,379
- 13,198
Kwa Hisani ya Aluta
Mnakumbuka miaka hiyo?
Mpingo naye alikuwepo....
Ukumbi wa Lang'ata Kinondoni Disco... Dj Chriss Phabby
Hilo Movie la Million Dollar Man nadhani ni yule wa Mieleka...
Movie la Odeon sinema kwa sasa ndio office za DTV na Channel Ten Movie lao si Mchezo Gangaa Jamunaa Saraswathi la Kidosi hilo...
Empress Chuck Norris Missing in Action Ukiona mabano (A) Picha la kutizamwa na watu wote... ukikuta mabano (x) ujue wakubwa tu... Movie hizo lazima uone chupi....