Nini maana ya usemi huu

Nini maana ya usemi huu

iMind

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,232
Reaction score
5,534
Utamsikia mtu anasema sijaolewa au sijaoa ila naishi mtu. Wengine wana enda mbali zaidi ........naishi na mtu na tumejaliwa watoto kadhaa. Kuoa nini? Na kuishi na mtu ni nini? Hivi nyie ambao mnaambiwa hivyo mnajisikisje?
 
Kuoa ni kufinga ndoa lakin kuish ni kule kuamua kuoshi bila ndoa so mtu akisema hiv unajua huyu anazini na huyu anafanya tendo la ndoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom