Habari zenu wanajamvi? Jamani nataka kujua eti red bull inasaidia kuongeza uwezo Wa kufanya mapenzi kwa Muda mrefu? Kama sio naombeni ushauri
Hiyo Red Bull ingelikuwa ni sumu ningelikuelewa kwa nini waweka hii sredi...
Lakini Red Bull si sumu, unaweza kununua na kufanya majaribio...
Unless huna hela ya kununua au huna mbooo!!
Habari zenu wanajamvi? Jamani nataka kujua eti red bull inasaidia kuongeza uwezo Wa kufanya mapenzi kwa Muda mrefu? Kama sio naombeni ushauri
Uwiiii siamini hayo maneno yametoka kinywani mwako!!!!!!