za mda huu wandugu

za mda huu wandugu

Nakushauri peleka jukwaa la matangazo huku usije shangaa mtu anakuagiza ush.z
 
Any product from victoria secret either lotion,body spray......(Hapo kaandika msomi wetu wa ukoo ili kuleta msisitizo sasa ole wako usiniletee hizo zawadi.......lol
 
Mshenga za jioni,usije ukainywa tu bia hela za posa,nakukumbusha

Aah wapi nimeiweka kwenye kibubu umepitia cc leo? utafiti kazaliwa leo naelekea huko nione kama kifaa chetu kitahudhuria na kitatoa zawadi gani! ukiweza twende
 
Last edited by a moderator:
Aah wapi nimeiweka kwenye kibubu umepitia cc leo? utafiti kazaliwa leo naelekea huko nione kama kifaa chetu kitahudhuria na kitatoa zawadi gani! ukiweza twende

Mkuu me bado bdy yngu mbona? Kwanza ivi nimezaliwa lini vile????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom