Inaboa had rahaaa

Inaboa had rahaaa

MUMU THE DON

Senior Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
148
Reaction score
183
kuna tabia ya baadhi ya wafanyabiashara ikibak mia au mia mbil anakwambia cna mia cna miambil kaka ili tu umwachie hususan mama ntilie hku uswahilin
 
heri utembee na full chenchi,akisema tu unampa chenchi
 
duh kumbe hiki ni kitabia kikubwa, hapa city centre kwa bakharessa , kuna bint sehemu ile ya mikate , huyo kila siku hana chenji, na pengine hujifanya kukaoka akiisha kupa ile bidhaa unayohiyaji, hadi umuulize hairudi hela...?
kuna tabia ya baadhi ya wafanyabiashara ikibak mia au mia mbil anakwambia cna mia cna miambil kaka ili tu umwachie hususan mama ntilie hku uswahilin
 
Back
Top Bottom