Bora uishiwe HELA maana utatafuta zingine kuliko kuishiwa nguvu za KIUME utamuomba nani kila mmoja anakazi nazo na bado hata alizonazo HAZIMTOSHI kwa matumizi yake binafsi OGOPA
KUISHIWA HIYO KITU.!!
Wakuu napenda kukumbuka mambo mawili matatu kwa wale tuliopita chuo cha magereza kiwira. Afande Chaka, Chakupewa,Nchimbi na nyimbo zake za "Vumilia Kidogo".
Aisee sijui kwa nini nimekumbuka hii kitu..
Ni zoezi la miss chit chat 2013.
Leo naomba ni Kubali kuwa hii kitu ilikuwa nzito sio mchezo..
Nimejiuliza ni kwanini hii kitu ilinifanya kuwa...
Wadau habari za mishughuliko,
kuna hii ishu ya online jobs.Napata message kila saa kwenye gmail account yangu nazipuuziaga lakin sasa naanza kuvutiwa.Hivi kazi za kufanya online kama translator...
tulifanye hili liwe game la mwendelezo kwa kuandika kitu au vitu visivyofaa na kumalizia na maneno UTAKUWA -----.. au HUO NI UBWEGE..
NAANZA MIMI...
mwanaume ukiwazoesha wanamke kwa...
habari zenu wadau wa jf
leo nataka nikishtaki hiki kitabu cha ginesi kwenu watanzania tumevuja rekodi za dunia ila mpaka leo wapo kimya hii sio haki kabisa
maajabu ya kwanza na muhimu sana kwa...
Habari za jioni mabibi na mabwana jukwaani hapa....
Nimechelewa kuweka huu uzi kwa sababu tulikuwa busy na sherehe, saiv ndio tunapumzika....
Tuungane pamoja kumtakia kila lililo jema...
Money has different names.
In church it's called (offering), in school (school fee), in marriage it's called (bride-price ), in divorce (alimony), when u owe someone (debt ), when u pay the...
Ukitaka Kujua Mtu ni Mbongo Halisi anapokwenda kwenye Hotel za Kitalii ama Zile kubwa kubwa sio "Migahawa" mambo matatu uyatarajie ukiyaona ujue ni mmbongo mwenzako.
1. Hataki Kutumia Menu...
Habari nimepata mchumba mwanamke yuko Norway leo hii, huyu dada kanipenda baada ya kusoma matatizo ninayopewa na wanawake kupitia JF,huyu dada ana kilo 120 na mtoto mmoja wa miaka 5,ndugu zangu...
Nawashanga wadada mnaowachomolea wakaka wakati mnatamani kuingiapeponi. Huko kutakuwa na equal chances, na hao mnao wakataa ndio mtakuwa mnawapa burudani
Nimepitia topic nyingi sana hapa Chit chat nimegundua kuna watu wako fleshi sana. Kuanzia leo natangaza kuwaheshimu sana.
Ndugu yangu Ntuzu The Boss big up.
Vile vile nataka kubadili life style...
ilikuwa tarehe 31 desemba tumeenda klabu kulewa na kuna machangu kibao. sasa imefika saa sita usiku nikaanza kushangilia LEO NI SIKU YA UKIMWI DUNIANI huku namwaga pombe chini eti nawakumbuka...