Nani kasema.......kama ni hivyo wangu atakuwa Gadaffi.........nshamchagua.......
Nani kasema.......kama ni hivyo wangu atakuwa Gadaffi.........nshamchagua.......
Nani kasema.......kama ni hivyo wangu atakuwa Gadaffi.........nshamchagua.......
Ha ha ha ha ha... gadaffi utakuta wale walinzi wake washamuwahi lol
Ha ha ha.......kwanza hujambo wewe.....
wewe peponi hunikimbii nitakuwa na wewe
Sijambo mie, nakumiss tu jamani... Mzima wewe?
Nipo sana tu wangu........na najua unanimiss sana.......mambo yamekuja kuwa mengi ghafla ila usikonde........tupo pamoja.......
Poa dee, pole kwa majukumu......hayo hayakwepeki, kikubwa uzima tu mwaya!
Huko hakuna kuchagua mama! Unaweza kutana na matonya huko
Halleluya........