K KATIBUA JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 288 Reaction score 63 Sep 29, 2014 #1 Fukara anafanyakazi apate hela, Tajiri anafanya kazi/biashara apate hela. Mtengeneza hela anatengeneza hela apate nini?
Fukara anafanyakazi apate hela, Tajiri anafanya kazi/biashara apate hela. Mtengeneza hela anatengeneza hela apate nini?
prospa JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 554 Reaction score 157 Sep 29, 2014 #2 apate nguo na chakula