JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Maeneo ya namna hii ili kujivinjari inahitaji mfuko utune kidogo, lakini kama mtu ukijipanga ndani ya miezi miwili kwa ule mtindo wa umoja ni nguvu, watu wanajimuvuzisha mjengoni kiulaini bila...
13 Reactions
319 Replies
18K Views
Nilikutana na uzi unaohusu michapio, katika kupitia nikagundua michapio yote ni ya kimatamshi, nikakumbuka kuna michapio mingine ni ya kivitendo. Labda niiite michapio bubu. Kwa mfano:- 1. Mezani...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Siku moja nilienda dukani, nikakutana na mrembo anayeuza hapo dukani, nikawa naona aibu kusema nataka kununua condom, akagundua mwenyewe na kuniambia unataka Salama eeeh? Nikasema ndiyo...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
linapokuja swala la kufuga mnyama nyumbani kama nyau au mbwa au wengi wetu tuna tofauti mbalimbali zinazotufanya tumpende mnyama flani kuzidi wengine binafsi napenda kufuga paka wewe je
0 Reactions
27 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
910 Views
1. kuna mtu anapewa mimba saa hii 2. kuna mtu anapewa ugonjwa saa hii in the name of kuskia utamu...Mungu akusamehe 3. kuna mtu anavunja nyumba ya wenyewe saa hii mwenyewe Kazi ni kazi.. 4...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimeexperience swala kama hili nakuona bora nililete kwenu wanajamvi,mimi kuna jamaa wangu wa karibu kabisa ila amenichunia
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna mdada hapa mtaani namsikia anamsifu mumewe kuwa hakuna mwanaume muaminifu kama mumewe, kwa kuwa toka jamaa kanunua simu ni mwaka wa 3 na kila akiaangalia simu, Inbox- Empty, Sent Items-...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
namtaka mtu wa kuchat ne mweny umri 18-19 0658289425
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanajamii nasaka marafki wa kuchat nao
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Wana jf leo ngoja niwakumbushie kituko kilichotokeaga ukweni kwangu huko machame uchagani kwa mara ya kwanza nilienda na mchumba yangu kwao machame kujitambulisha kwa vile mm mtu wa pwani, tanga...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Girl:bby.. Boy: yec bby.. Girl: Hii simuu.. Boy: Imefanyajee? Girl: Inazinguaa.. Boy: ina nn? Girl: asa kila siku wananiona na hiihii? Boy: sasa si ndo uliyonayo? watakuonaje na ingine? Girl...
3 Reactions
6 Replies
4K Views
cku moja nilipigwa mkwara wa nguvu na bro baada ya kukojoa kitandani nkasema imetosha ntajikaza ctakojoa tena, ucku uliofuata nikawa naota kamdudu kananifukuza mbio mbio sana nilipokaribia home...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukiwa unataka kujiunganisha na internet nzuri na yenye kasi ya ajabu ya hawa Eatel, utatakiwa kuchagua nchi. kwa bahati nzuri nchi yoyote utakayoichagua utaweza kupata net. Sasa kuna hizi nchi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Some people are so poor all they have is money
0 Reactions
2 Replies
825 Views
hivi karibuni nimemaliza safari ya porini na raia wa uswisi.wageni hao ni wawili maana ya mtu na mpenzi wake, wakati nawapokea jro airport nilijua ni mtu na mama yake,yarabi toba nikawauliza...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna hii style ya watoto kucheza mchezo wa Kujificha au baba na mama, mnajipikilisha..Jamani hii michezo wakati mwingine siyo mizuri kwa watoto...Me simkubalii mwanangu kucheza kabisa.. Watoto...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom