Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
ilikuwa tarehe 31 desemba tumeenda klabu kulewa na kuna machangu kibao. sasa imefika saa sita usiku nikaanza kushangilia LEO NI SIKU YA UKIMWI DUNIANI huku namwaga pombe chini eti nawakumbuka waliotangulia. wale machangu walimaindi maana nilisema mara nyingi. wakaanza kunifokea mi nae nawamaindi si wakaanza kuongezeka.
nilikuwa na jamaa yangu mstaarabu sana akawaomba msamaha na tukaanza safari ya home.
aisee wangenidunda na inawezekana wangefanya maarifa waniambukize. ilikuwa timing mbaya sana.
nilikuwa na jamaa yangu mstaarabu sana akawaomba msamaha na tukaanza safari ya home.
aisee wangenidunda na inawezekana wangefanya maarifa waniambukize. ilikuwa timing mbaya sana.