waliopita Chuo cha magereza kiwira: tujikumbushe

Kibongoto

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
227
5
Wakuu napenda kukumbuka mambo mawili matatu kwa wale tuliopita chuo cha magereza kiwira. Afande Chaka, Chakupewa,Nchimbi na nyimbo zake za "Vumilia Kidogo".
 
Wakuu napenda kukumbuka mambo mawili matatu kwa wale tuliopita chuo cha magereza kiwira. Afande Chaka, Chakupewa,Nchimbi na nyimbo zake za "Vumilia Kidogo".

Unanikumbusha mambo ya Daraja la Mungu na mto kiwira. Vipi bia za kwa mama woka?
 
Nakumbuka wakati nikiwa mdogo jamaa wa magereza kiwira a.k.a kibwe walikua noma sana kwa sarakasi na kwaya.
Sasa ulivyosema magereza kiwira nimekumbuka mbali sana
 
Wiiii.....waaaah... Wiiii...waaaah.
Na disco uwanja wa damu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom