mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,359
- 56,208
mwezi wa pili mwaka huu niliuza mechi na dada mmoja mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hapa mjini.baada ya hapo nilipatwa na vipele kuzunguka state house yangu,juzijuzi nikawa na homa za mara kwa mara kucheki malaria hakuna typhoid hakuna ,mkojo safi ,choo safi nikajilipua kupima ngoma pia niko safi dokta kasema ni uchovu ,lakini wandugu tangu mwezi wa pili sina raha kabisa mpka leo hii nasema siuzi tena mechi kama simba ukawa