Zawadi kwa mama....

Zawadi kwa mama....

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Mu-hali gani wanajukwaa....

Siku sio nyingi mama yangu ataadhimisha siku yake ya kuzaliwa...

Nikiangalia sioni zawadi gani nimpatie, make nilishampatia kila kitu kilicho ndani ya uwezo wangu kama nguo, viatu, mkoba.

Kama kuna wazo jingine mnaweza kunipa katika kuchagua zawadi....

Natanguliza shukrani....

"Nani kama mama"....

CL
 
charminglady zawadi yake ya mwaka huu mtoe kwenda kutembea. Unaenda kama Kigamboni au Bagamoyo (kama uko dar) siku yote mnakua kule unaweza kuchkua wajukuu ili kumpa kampan, ale anachokipenda.....may be atapenda....
 
Last edited by a moderator:
hua nawaza sana zawadi ya kumpatia mama sijaiona na wala sitakaa nikaipata itakayofanana na upendo alonipatia hadi hapa nilipo sina zawadi ya kumpatia zaidi ya kumuombea mema na aishi miaka mingi

mfayie surprise yoyote ile
 
Mkuu utafiti asante kwa ushauri... Ila kwa bahati mbaya itakuwa siku ya kazi, nitachelewa kutoka kwa mkoloni....
 
Last edited by a moderator:
hua nawaza sana zawadi ya kumpatia mama sijaiona na wala sitakaa nikaipata itakayofanana na upendo alonipatia hadi hapa nilipo sina zawadi ya kumpatia zaidi ya kumuombea mema na aishi miaka mingi

mfayie surprise yoyote ile

Sawa Mrs Dago nitajitahidi, lakini walau ningempa kitu kidogo awe anakumbuka kuwa alipewa siku ya birthday yake ya mwaka 2014... Issue ni kwamba kitu gani????
 
Last edited by a moderator:
Sawa Mrs. Dago nitajitahidi, lakini walau ningempa kitu kidogo awe anakumbuka kuwa alipewa siku ya birthday yake ya mwaka 2014... Issue ni kwamba kitu gani????

Mshtukizie kwa kumtoa out popote pale unapopaona patamfaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom