Napenda kuwatakia nyote wana JF siku njema,wale wanaoumwa wapone,waliopoteza matumaini,wapate tumaini,wenye matatizo ya aina zote,wafarijike!
Siku njema nyote!
NASEMA NA MOYO WANGU.
Moyo wangu ewe moyo, naomba sikiza sana,
Moyo ulinde unyayo, na njia zenye laana,
Moyo na uwe na mbuyo, bahari ni chafu sana,
Moyo sifanye uchoyo, mtoaji ni Rabana,
Moyo...
Wapendwa ,
chukueni tahadhari sana, tena
sana na msipuuzie kuanzia sasa kamwe msije
mkala vyakula kama :-
Burger,
Pizza,
Birian,
Pweza,
Kababu,
Chips
Kuku,
Sandwich,
Chops,
Supu ya...
Hii ni kwa wote "me" na "ke"..toka uanze haka kamchezo maarufu ka kugegedana ushawahi kuwa na wapenzi wangap kwa wakati mmoja?hapa namaanisha kama mtu upo na amina wakati huohuo upo na...
kijana mmoja kutoka mkoani Mwanza wilaya ya Sengerema aliyetambulika kwa jina la Waziri Saidi(23) ametiwa mbaroni na Polisi kwa kosa la kumbaka binti wa miaka 11.Taarifa zaidi ntawapa nikimaliza...
Ninaingiaga sana kwenye tovuti mbambali. Kuna wakati naletewa fomu nijaze.
Kwenye fomu hizi unaulizwa mambo mengi kama vile jina, namba za simu nk.
Vyote hivyo havinipi shida.Shida inakuja pale...
Mu-hali gani wana Jamii Forums..
Ilikuwa tarehe 15/10/1997 majira kama haya nilipompoteza baba yangu mpendwa.
Ni pengo lisiloweza kuzibika milele....
"Bwana alitoa na Bwana alitwaa jina la...
KAWE-Cow way ..ng'ombe wakiswagwa kwenda kiwanda cha nyama Tanganyika Packers tayari kwa kuchinjwa walikuwa wakipita kwenye njia hii wazungu wakiita cow way waswahili wakachapia KAWE
Habari wadau,
Tunaambiwa eti wale maafande-wapendanao ambao 'walijifotoa' huku wakidendeka,
Wakubwa wao (Uchwara) wa Kazi wame-mind na mwishowe kuamua kuwaenguka katika ajira zao akiwemo pia...
I must admit that the events of last week have left me perplexed about Kenyans. Soon President Uhuru Kenyatta, will wake up one bright (cloudless) morning, look up in the sky at State House...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.