Anakata mauno kwanza, je yupo sahihi?

Anakata mauno kwanza, je yupo sahihi?

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Mwenzenu yamenikuta ,huyu demu nashindwa kumuelewa au pengine mimi ni mgeni na mambo haya ,yaani tupo tayari kwa tendo ,aniambia ngoja nikuonyeshe ,nilidhani anaenda kutoa kitu kwenye mkoba wake ,kajifunga kibwebwe na kuanza kukata mauno ,ya kikweli kweli au ndivyo walivyo ?
 
Ohh ustaadh Mkalia Mwiba una vituko sana..hivi usilamu unafundisha maswali ya aina hii ktk hadhara kama hii?
 
Last edited by a moderator:
Ohh ustaadh Mkalia Mwiba una vituko sana..hivi usilamu unafundisha maswali ya aina hii ktk hadhara kama hii?

Maalim Abdulhalim Mkalia mafenesi Itafute elimu hata kama ipo China ,hapa ni kutafuta elimu ,watu watatoa nasaha zao,kufuata au kutozifuata ni uwamuzi wa muulizaji,sasa tatizo lipo wapi ? Na kuna msemo usemao ukifika kwenye watuu wanachongo ....!
 
Na wewe ungeanza kumbambia ili kupata stimu zaidi utamu wa ngoma kucheza babu eeh we hujui tu hyo ni style tu
 
Maalim Abdulhalim Mkalia mafenesi Itafute elimu hata kama ipo China ,hapa ni kutafuta elimu ,watu watatoa nasaha zao,kufuata au kutozifuata ni uwamuzi wa muulizaji,sasa tatizo lipo wapi ? Na kuna msemo usemao ukifika kwenye watuu wanachongo ....!
Ustaadh umenidissappoint na hilo jibu lako. Hata sie tuliokua tunataka kuurejea usilamu sasa tunazidi kubaki njiapanda..
 
ila kuna mengine jamani siyo ya kuleta JF mimi naona kama umemdhalilisha sana huyo binti....!!!!
kumvua demu chupi sio jambo la kitoto ujue kuna uaminifu aliyouweka kwako ndo maana ukimvua anakuangalia usoni!!!
 
Huo utani..alitaka kunogesha process. Badala ya kumsifu unamshangaa.
 
Daah. kwel kwenye miti hakuna wajenzi. Yaani mimi nawapendaje hao wakata mauno ila siwapati aisee, naishia kupata wa kawaida tu kama sio gogo.
 
Picha kaka...anyway, she was welcoming you.

Mwenzenu yamenikuta ,huyu demu nashindwa kumuelewa au pengine mimi ni mgeni na mambo haya ,yaani tupo tayari kwa tendo ,aniambia ngoja nikuonyeshe ,nilidhani anaenda kutoa kitu kwenye mkoba wake ,kajifunga kibwebwe na kuanza kukata mauno ,ya kikweli kweli au ndivyo walivyo ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom