First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
Asante Mungu unaendelea kunipa uhai na amani katika maisha yangu licha ya changamoto za kawaida
Naomba uendelee kunipa rehema, neema, furaha, mafanikio na kunijalia maisha ya amani...
Niepushe na maradhi, ajali na kila lisilo jema mbele yangu..
Nipe roho inayonikumbusha ibada na uniepushe na dhambi zote za kunena, kuwaza, kutenda na kutotimiza wajibu wangu...
AMIN... AMINA
HAPPY BIRTHDAY TO ME First Born

Last edited by a moderator: