JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
How fast can you spell these words: eye, yam, stew,peed ; try it again!!!
0 Reactions
0 Replies
819 Views
.KATIKA PITAPITA ZANGU NILIKUTANA NA HII YA HUYU DOGO IMENIFURAHISHA SANAA...! Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la3 halinifai. Mwalimu: Kwa nini unasema hivo? Mtoto: Nina...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
mimi nikijana wa miaka 26 nilikuwa naishi na mke wangu kipenzi ambae tulikuwa tunapenda sana siku moja nikiwa nyumban ndipo nilipopigiwa cm na rafiki yangu niende kuonana nae ufukweni COCO BEACH...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kimsingi hakuna kabila la WAPARE ...............Hilo ni neno wachaga walilowatania hawa ndugu zetu, kabila kubwa na hao wanaoitwa wapare ni WAASU..................NAONA HISORIA IMEPOTEA HATA WAO...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Masai alienda kanisani na mbuzi wake. Pasta:masai ingia kanisani mbona unaishia nje? Masai:unazani mi mujinga sio? Si nasikia simba wa yuda yupo ndani, atakula mbusi yangu.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Za sahizi wakuu! Niliwahi kumsikiliza Dk Ndodi aliwaponda sana watu wanaowaita wake zao MAMA, alisema ni kuwakosea adabu wazazi waliotuzaa. naomba tushare hapa najua kuna watu wa kila rika.
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari Wanajf.. Hii Habari Nimetoa BBC Swahili.. Wanawake Tuwe Makini Na Tunaowaita Wapenzi Wetu.. Polisi nchini Austria wanawahoji wanawake ambao wamehadaiwa na mwanamume mwenye mazoea ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wajameni! Hapa nilipopanga(uswazi street) nipo jirani na madada fulani ndani ya nyumba moja ya kupanga. Hawa wadada ni warembo haswa na nilikuwa na mpango wa kuwatokea siku...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni msanii wa hip hop naitaji spobsers
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la3 halinifai. Mwalimu: Kwa nini unasema hivo? Mtoto: Nina akili... Basi mwalimu kamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari WanaJF.. Je Ungepewa Nafasi Ya Kurudia Usichana Wako[kama ni mwanamama] Amaa Ujana Wako [Kama Ni Mwanababa]Ni Kituu Gani Ambacho Ungetamani Saana Ukibadilishe Ili Maisha Yako Yawe Sawa...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Unajua wengi hizi shule tulikuwa tukisoma kwa mkumbo tu bila kujua baadae itakuwaje, wengi tumejitambua baada ya ama kuingia chuo ama five na six, nachotaka kujua nini kilikuwa kinakuvuta kupenda...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Kuna watu huwa wanadhani wazee watu wazima wakikaa pamoja huwa wanaongea point saaaana, wanafikiri labda wanazungumzia biashara hivi, maswala ya kisiasa na mambo mengine ya ujenzi wa taifa. Kama...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Salaam waungwana wa CC! Nina rafiki yangu hapendi kuchangia mada hasa kwenye vikao vya kazi, ilifika mahali nikamuuliza kwa nini anahali hiyo...ni kwamba haelewi kinachoongelewa au kiburi tu...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Komenti ya mchangiaji mmoja anayeitwaObama wa Bongo post #2 kwenye thread moja inayomhusu Ommy Dimpoz ni kichekesho tosha. Inyake hiyo thread HAPA ucheke kimyakimya!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya muda mrefu MUNGU kukaa kimya na kutotoa adhabu kwa watanzania, MUNGU amekusudia kutoa tamko na onyo kali kwa sababu ya upole wa watanzania uliopitiliza. MUNGU anakusudia kutoa tamko na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Iwapo pengine utasherehekea birthday yako siku za karibuni,watume rafiki zako hapa JF wamwombe mpambaji maarufu wa sherehe za jf aitwaye afrodenzi.Huyu mdau ana utaalamu mkubwa wa upambaji ambao...
1 Reactions
0 Replies
899 Views
Bado yupo kwa wazaz,kila tunapochati anajaribu kunichokonoa kwamba nimefanya ngno na wangapi. Kuna faida gani yeye kujua,au mimi kujua?
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Reasons why women reject men
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Siku moja mwalimu alikuwa darasani ambamo kulikuwa na mbao mbili za kufundishia Ubao mmoja uliokuwa pembeni mwa darasa ulikuwa mweusi na mwingine uliokuwa mbele ya darasa ulikuwa mweupe, sasa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom