Msiba

Msiba

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,096
Reaction score
1,909
kuna mtoto alikutwa analia juu ya kaburi, wakamuuliza unalia nini? akasema "mke wake kaka yake ni mjomba" je aliyekufa ni nani yake?
 
kuna mtoto alikutwa analia juu ya kaburi, wakamuuliza unalia nini? akasema "mke wake kaka yake ni mjomba" je aliyekufa ni nani yake?

Hapa ilibidi useme aliyekufa ni mke wake kaka yake ni mjomba ndo tujue aliyekufa ni nani ..na bado huwezi kueleweka pia...labda useme aliyekufa ni mke wake kaka yake na mjomba ...usingetumia ni. Badili tena ilete uhalisia wa kukujibu vizuri.
 
Back
Top Bottom