Nenda masai club aka meridian mwananyamala a
Mm huwa napenda kuugalia mpira sana, naombeni wadau nikita kula na kuangalia mpira ni bar gani nzuri kinondoni naweza kwenda?
Corner bar unaangalia mpira huku ukiwa mbugani
Hahaa sa unakuwa unawinda au unawindwa?
Siku nyingine uulize, "ni kanisa gani naweza kupata huduma nzuri za kiroho?"Mm huwa napenda kuugalia mpira sana, naombeni wadau nikita kula na kuangalia mpira ni bar gani nzuri kinondoni naweza kwenda?