Yupo hata kule chini kwa wakubwa.
Anaitwa advocate j!
Mmewaona wapi Grace alijaaliwa,Aminata mrembo na Regina ukweli?
Si nilisikia ni wanaume hao?
huo mchezo upo humu kweli
Mi yamenikuta mkuu sina hamu
Si nilisikia ni wanaume hao?
Si nilisikia ni wanaume hao?
yupo kati ya hao uliowataja au ni mwingne duh