Hichi kipindi kilichokuwa kinarushwa EATV binafsi nilikuwa nakipenda sana ila sasa sielewi wamepotelea wap? Nawakumbuka kina Mzee wa fiksi, cha uroho hawa wakiwa ni baadhi ya wakali wa kipindi hicho jaman wameenda wap hawa??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.