B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,582
- 3,272
NIAJE NIAJE MAZEE...ebana hii tabia inanikera sana nilijua ni kwa wadada.kumbe hata midume na midevu yao.jitu umelikuta bar lina gonga kiroba au safari,na wewe umeingia kivyako ila kwa vile unamjua unaamua kumsambazia love kwa kumuagizia anacho kunywa...hapo ndo utakoma,anaacha kunywa alicho kuwa anakunywa linaagiza Heineken.we ulikuwa unakunywa kiroba nimemwambia muudumu akupe ulicho kuwa unatumia,eti unaagiza castle large.acheni tamaa jamani...tumbo lilipoza kalio.