Acha Ushamba
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 202
- 78
Ipo hivi
Kuna jamaa mmoja mshikaji anamiliki michepuko kadhaa hapa mjini. Anadai hana kipaji kingine zaidi isipokuwa kipaji cha kufanya yale mambo ya faragha Kaangalia weeeee kaona hana kipaji kabisa cha manufaa ya kiuchumi ila tu uzoefu na mission town ndio zinamfanya awepo mjini.
Sasa kimbembe ni hiki hapa: Amemwacha mchepuko wake mmoja, mchepuko kamaindi sana kuachwa. Alichofanya mchepuko alichukua assets zote alizowahi kuhongwa na jamaa na kumrudishia wifi yake (yaani mke wa jamaa)
Alichukua usafiri akapakia na kupeleka hadi kwa nyumba kubwa na kumwambia kuwa ameleta vitu hivyo baada ya kubaini kuwa jamaa alikuwa na mke ila hakutaka kumwambia. Na kafanya hivyo kwa roho safi kwa kuwa hataki kumtumia mwanamme wa mwanamke mwenzake, eti roho inamuuma sana.
Ila ukweli ni kuwa mchepuko anajua a to z kuwa jamaa ana mke, lakini ameamua tu kuharibu kama stahili ya kupooza maumivu ya kuachwa.
Wahongaji kaeni chonjo! Ngoma imebadilika! daaadaaki!
Acha Ushamba !