Sexual harassment

Sexual harassment

kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Posts
6,467
Reaction score
6,500
Jamani hivi sharia ya nchi inasemaje kuhusu Sexual Harassment, ninavyoelewa kumtamkia mtu asiyekuhusu kimapenzi kitu chochote kuhusu mapenzi si sawa (it applies for both men and women) lakini huku naona iko nje nje si barabarani si wapi, huko makazini ndo usiseme.

Najua nakwaza watu na michepuko yao but hata kama watu wamependana workplace shouldn't be a place for love or making love, naona tunajiwekea vikwazo tu, maendeleo yatakuwepo kweli wakati makazini kwenyewe wengine wamepageuza madangulo na kumejaa aroma za ajabu ajabu?

By the way ushauri wa bure, mnapofika maofisi muhimu ku disinfect hizo desks cause you all have no idea how many been put there while people were doing their thang.
 
Back
Top Bottom