Huyu Mke Kiboko

Huyu Mke Kiboko

Murano

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
2,056
Reaction score
1,129
IMALIZE SIKU YAKO
KWAKICHEKO..
Siku ya kwanza
MUME: Halooo vipi mke wangu
salama ww?.
MKE: Salama tu
MUME: Uko wapi?
MKE: Jamani si niko nyumbani
MUME: Mhh kama kweli uko
nyumbani washa
brender nisikie.....mke akawasha
brender
MKE: Umesikia?
MUME: Okay haya mi natoka
kazini nakuja
Siku ya pili
MUME: Vipi mko salama huko?
MKE: Tupo kama ulivyotuacha
MUME: kwani uko wapi?
MKE: Niko nyumbani napika
MUME: Washa brender kama
kweli uko nyumbani
Mke akawasha brender
MKE: Umesikia?
MUME: Poa ntarudi baada ya
masaa mawili
Siku sita baadae mume
akaamua kurudi bila
kumtaarifu mkewe alipofika
home kamkuta mdada
wa kazi yuko peke yake.
MUME: We mama yako yuko
wapi?
MDADA: Sijui ameondoka na
brender toka asubuhi
 
Back
Top Bottom