Tabia za madume wa mbegu

Tabia za madume wa mbegu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,683
Kabla ya kulaumu jiulize ulimfanyia nini mumeo hadi amekuwa na tabia hizi?

TABIA SUGU ZA WANAUME WA AFRICA
1. Ukali
2. Ulevi
3.Kuchelewa kurudi nyumbani
4. Kupenda marafiki kuliko familia
5. Umalaya
6. Kuficha mambo yao ya maendeleo
7. Kupenda hawara zao kuliko mke
8. Ubabe
9. Kusafiri bila kuaga kwa wake zao zaidi ya kuaga kwa mahawara zao
11. Uchoyo
12. Bajeti kali nyumbani kwenye baa mmhh!?
13. Kusaidia watu baki kuliko ndugu zao
14.Kosa dogo ndani ya nyumba kelele nyingi
15. Kunuka miguu
16. Hupenda kutoa ofa sana kwenye baa nk. akiwa na dem (kutaka sifa )
Kweli au sikweli?
 
Tabia aina dawa ....ulimbukeni wao tu ndo unawafanya wawe ivyo walivyo . Kama sector fulani ivi mkoani Arusha, mwanamke akaolewa na baadhi ya wanaume wa iyo sector ...Hahaaa andika maumivu mwanzo mwisho ..labda usifaamu.
 
Back
Top Bottom