JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani naomba kufahamiana na watu wapya nitapenda kuwasiliana nanyi, karibuni
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Special kwa walioacha na kuachika in the name of marriage
7 Reactions
59 Replies
6K Views
nimekuchagua wewe nikupendeee mamaa sitaki mwinginee i wish usiniachee usinitendee mamaa usipende mwinginee MOYO WANGU NI MWEPESII UMENIKALIA CHAPATI NAFANYA VITUKO KAMA CHIZI KUKUPENDA...
7 Reactions
66 Replies
8K Views
Wanadai eti kila kitu kimegunduliwa na tena ni wazungu wamegundua. Sasa na sisi wa-Afrika em' tujitoe kimasomaso hapa na kurudisha/kutengeneza heshima walau kidogo, tunadharaulika sana! Ni hivi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Tunaumizana pua jamani.hili tangazo sawa lakini lile la condom eti helmet sasa nipenipe sasa sijui nini silipendi hasa mbele ya watoto
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Open and subscribe http://youtu.be/rsrVvICJg68
0 Reactions
1 Replies
1K Views
RAIS KUHUTUBIA TAIFA IJUMAA TAREHE 19/12/2014! MDAU HUYU👇👇, KAAMUA KUITUNGIA SHAIRI KABISAAA SIKU HIYO MAALUMU...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ndugu wanajamii tukumbushane enzi za sekondari wakati tukiita makombi,mchepuo kwa majna tofauti kama PCM> People Confuse My mind, CBG>Combination of Beautiful Girl. HKL}Hatusomi Kufaulu...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Unajua tumbili asijie akajidanganya kwamba eti kujiuzulu ndio adhabu kwa kosa alilofanya la kuilawiti tz. la hasha! kujiuzulu hakuondoi ulazima wa kumfikisha mahakamani na kumchukulia hatua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nipeni hongera huu mwaka wa 5 JF na sijawahi kupewa warning au ban.
2 Reactions
104 Replies
5K Views
kwa wale wenzangu na mimi, fanya chochote kati ya haya Ijumaa ya keshokutwa, ila usithubutu kuangalia "Tv zao" Ijumaa Alasir mazoezi ya Yanga, yataendelea pale uwanja wa LOYOLA, Mabibo! Ijumaa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunaomba mkipita bar zenu ni pm wakuu ntakuja sitoomba bia ntatoa zawadi kulingana na hadhiya bia unayokunywa Wakuu tulikuwa harusini kwenyemeza wakatoka watatu huyu mmoja bila kufikiri akatoka...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Ananipenda sana lakini mimi simpendi nashindwa jinsi ya kumwambia simtaki
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Dear Aunt, Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu ana angalia TV. Sikufika mbali gari ghafla...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ngoja nikae kiuandishi sasa.. Kuna tofauti sana Kati ya hawa wadada wawili.. 1. Karucee speak English ya UK while Kasinde American.. 2. Kasinde got some Crushes twice while Karucee not yet...
4 Reactions
123 Replies
7K Views
Darasa analosoma Nunda lilikwenda kwenye ziara ,ziara ya siku hiyo ilikuwa kutembelea kituo cha polisi ,walitembezwa kwenye kituo cha polisi chote na kuelezwa ni jinsi gani polisi hufanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Umofia Kwenu wana JF, Kampuni inayojihusisha na huduma ya Migahawa na hotel,Break Point Group imefungua mgahawa mpya pande za Kinondoni Mwembe Jini ambacho kitafunguliwa before x-mas,mbali na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwalimu wakike ambae alikuwa na sura nzuri na umbo la kuvutia ambae alikuwa kadogokadogo tu hata hajaolewa, alimwacha Nunda hoi kiasi Nunda alikuwa hafanyi vizuri katika matokea ya majaribio na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Siku moja kulikuwa na matumizi ya msamiati mwalimu wa Nunda ambae ni mwanamuke alihitaji wanafunzi watumie neno hakika katika sentensi, wanafunzi wakanyoosha vidole ,nunda alikaribia kusimama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Haya ndugu zangu , watanzania wenzangu, najua wengi wenu tayari mshafika huko vijijini kwenu tayari kuanza likizo, au kama bado mpo safarini na wengine ndio mnajiandaa kwa safari. Lengo la thread...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom