JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Natafuta marafiki wa kuchat nao kutoka tz wa jinsia zote wenye hadhi na taadhima, wenye mawazo yalo wanda na kupevuka.
1 Reactions
3 Replies
4K Views
1.LEO MTOTO WA KIKE DENA AMSI AMEZALIWA......HONGERA SANA DENA KUTIMIZA MIAKA....??...LEO 2.MUNGU AKULINDE,AKUBARIKI NA AKUZIDISHIE MILELE NA MILELE. Leo wana JF tunaunganisha sherehe...
7 Reactions
150 Replies
13K Views
Camel - YouTube
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mwalimu wa shule moja ya msingi(jina kapuni)... Ni mwanadada mrembo sana, watu wengi walimsifu kwa ulimbwende wake... Siku moja baada ya kumaliza kufundisha aliuliza kama kuna mtu anaswali...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
Daaah kitambo sana niko mbali na tv kozi Niko busy kiasi chake, lately nimejikuta niko free hivyo nimepata nafasi ya kutazama tv na ndio hapo nikamkodolea mijicho msupu mmoja akiimba na Juliana...
0 Reactions
41 Replies
11K Views
Kama Mnavyoelewa Shida Ya Usafiri Wa Mbagara Wajeda Wawili Waliounyuka Kinadhifu Nao Walikuwamo Katika Mtifuano Huo Sasa Ikatokea Nimewahi Siti Kati Ya Siti Pacha Ila Upande Wa Dirishani...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni wazuri Kwa ulinzi na kazi za ndani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inauma mno!!! Unakuta mtu kafaulu vizuri kidato cha nne na kupewa selection kwenda A level. Kufika huko unagonga four ama zero kabisa!! Aaargh!! Unaanza tena kutumia gamba la form four...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukiona mwanamke anaringa, anakusumbua...wewe kuwa mvumilivu, msotee hadi umle, baada ya hapo kila anapokuona anajiona yuko uchi, umeshamwingilia ndani na kumchukulia ujasiri wake, maringo yote...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Habarini wandugu Leo ni siku ambayo haikutegemewa kuwepo machoni petu Ni siku ambayo ni murua ni siku ambayo tunakumbuka kipenzi chetu mwenzetu wa mjengoni hapa alitokea duniani Ni siku ambayo...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwalimu wa kike ambae ndie mwalimu wa darasa analosoma Nunda ,siku moja aliingia na mfuko wa matunda na kuwapima akili wanafunzi ,alikuwa akitia mkono kwenye mfuko wenye matunda na kusema...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Baunsa mmoja kapumzika sehemu dogo mmoja akamfuata. DOGO: Oyaa blaza saa ngapi? BAUNSA:Hebu ondoka usinsumbue! DOGO: siondoki mpaka uniambie saa ngapi! BAUNSA: (Kwa hasira) Saa nane na nusu DOGO...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Niko ndani ya basi naelekea moro town kula sikukuu kidogo, i will be back after new year eve, may GOD bless you all!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuvaa mkanda wa plasitic, Mshati yenye picha picha, kuwa na nguo inayoonyesha ishara ya mti wa bangi, Viatu vilivyoisha sole na kwenda upande, Kuvaa suti yenye rangi mbili, Kuwa na wallet mbovu...
19 Reactions
225 Replies
23K Views
Kijiji kimoja kilivamiwa na watu wakatili. Katika familia moja kulikuwa na mtoto mlemavu mwenye umri wa miaka 12. Wazazi wake walipokimbia hakuwa na uwezo wa kukimbia walimwambia akae kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watu wanatukanana JF tu, wakikutana...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
...nawapungia mkono wadau wote..KITAMBO sana :A S-rap:
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nakunywa Pepsi hapa. Sijawahi kunywa soda mbaya kama hii. Wewe je ipi mbaya zaidi?
0 Reactions
14 Replies
46K Views
Hii ni kwa wote ila sio vibaya kama nitataja baadhi na kupata maoni yao. Hivi kama mtu ni Profesa na alikuwa UN under secretary na one of best African archivement women halafu anakukatia mauno...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Back
Top Bottom