Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,164
- 51,353
Haya ndugu zangu , watanzania wenzangu, najua wengi wenu tayari mshafika huko vijijini kwenu tayari kuanza likizo, au kama bado mpo safarini na wengine ndio mnajiandaa kwa safari.
Lengo la thread hii ni kuwapa nafasi watanzania wote kutupa updates za mambo mazuri au ya kuleta changamoto, iwe kijamii, kisiasa au kidini.
Nyakati za furaha ulizopata, au huzuni, ungependa nini kifanyike katika jamii yako ili kubadilisha hali usiyoipenda au jambo gani jema unaloliona limefanyika katika jamii yako.
Umetembelea wapi, umefanya nini, umeona nini, ukiweza tuwekee picha ya eneo ulilopo na jambo unalolifanya unaweza usiweke sura yako ukaweka picha ya eneo tu.
Karibuni, na nina watakia mapumziko mema, Mungu aturudishe wote salama salimini kuanza mwaka mpya wa 2015.
Heri ya msimu wa sikukuu!!!:A S-rap:😛lane::car: