Nunda (15) - Nunda kituo cha polisi.

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,611
1,250
Darasa analosoma Nunda lilikwenda kwenye ziara ,ziara ya siku hiyo ilikuwa kutembelea kituo cha polisi ,walitembezwa kwenye kituo cha polisi chote na kuelezwa ni jinsi gani polisi hufanya kazi zao na pia wanavyoshirikiana na raia katika kupambana na wahalifu.

Wakafika katika chumba cha upelelezi humo kulikuwa na mapicha mengi yamebandikwa kwene ubao ,mkuu wa kituo cha polisi alipowaona watoto wameshangaa na kuangalia picha ,akawambia hao ni wahalifu wanaotafutwa na polisi na wakipatikana watakamatwa hapohapo.

Nunda akashtuka sana kusikia hao ni majambazi akamuuliza mkuu wa kituo ,mbona hamkuwakamata wakati mlipo wapiga pichah:becky:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom