Medlove chris
Member
- Nov 14, 2011
- 8
- 0
Ananipenda sana lakini mimi simpendi nashindwa jinsi ya kumwambia simtaki
Kwann unasema hvyo
Kwasababu kuna kitu una benefit kutoka kwake na unapenda kuendelea kupata benefit bila ya wewe kumkubalia Kwahiyo umekuwa una mpa moyo wakati kiukweli huna time Naye ila vitu vyake una vitaka
Ndio Maana mkuu Hapo kasema Ni unafiki. Acha kula vitu vyake halafu utaona utakavyo pata nguvu ya kumwambia
Ananipenda sana lakini mimi simpendi nashindwa jinsi ya kumwambia simtaki
Ukisikia unafki ndiyo huo.
Wala sijala vyake ila anataka mashine