ndugu wanajamii tukumbushane enzi za sekondari wakati tukiita makombi,mchepuo kwa majna tofauti kama PCM> People Confuse My mind, CBG>Combination of Beautiful Girl. HKL}Hatusomi Kufaulu Lazima. nawasilisha kwenu nawe toa yako hapa.kwa masomo mengine.au yanafanana na haya. PEN-DOWN.