JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nikiwepa kazi ya kutunuku vyeti vya mchagiaji bora katika majukwa mbali mbali hapa jf mwaka 2014 nitawapa wafuatao; JF Doctor, mkuu MziziMkavu, nitamtunuku cheti cha uchangiaji bora katika...
8 Reactions
152 Replies
11K Views
decorate & celebrate kwa mwaka 2015 my frnds
0 Reactions
1 Replies
955 Views
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hope this post will find all of you enjoying fresh new year!happy new year to you all! Si kawaida yangu kuposti, ila mimi nimsoma coment za watu tu, nadhani nitaingia top ten! Back to the topic...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamaa alikuwa anaumwa akapita kituo cha taxi akaikuta taxi moja, akamuomba sana taxi dreva ampeleke hospitaji lakini fedha yake ilikuwa ndogo, kitu cha ajabu dreva alimporomoshea jamaa matusi ya...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Lets enjoy some African Proverbs: 1. When a man is stung by a bee, he does not destroy all beehives (Kenya) 2. The man who marries a beautiful woman, and the farmer who grows corn by the...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Heb tujikumbushe kidogo wadau,nakumbuka polisi walikua wanapita nyumba kwa nyumba wanamuita mtoto mbele ya wazazi anakula risasi fasta....je ww unakumbuka nn! Sent from my BlackBerry 9810 using...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana nimejikalia kwangu, sijui hili wala lile, nakula mziki kwenye headphone zangu za AKG, nikasikia mtu anagonga mlango wa geti kwa nguvu sana. Nilipoenda kuangalia, naona m-Zigo umetua mlangoni...
0 Reactions
67 Replies
10K Views
Jamaa kajiandaa vya kutosha siku ya kufanyiwa usaili, maana kwa muda mrefu anatafuta kazi bila mafanikio. Ile anaingia tu akaambiwa," wait please! ". Akajibu," 75 kilogram sir ". Ha ha ha, chezea...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Nilipenda kwenda kula kwa Mama Mkinga kitu cha "bundle" au "Gb" huu ni wali Maharage mtu mbili hamuumalizi.Mimi na Mate wangu tulipendelea kujivinjari hapa,sababu kuu Uchumi ulikua unakaba pia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watoto mara nyingi wanasema the wrong things at the wrong time and Nunda is the worst ,tuvumiliane ,okay ? Isije ikaonekana Mwiba ,unajua binadamu kila mmoja na mtazamo wake na ufahamu wake ,ikiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mikakati toka kwa Kitime. Kwanza nawatakieni tena wote heri ya Mwaka mpya 2015, hata wale walioanza Mwaka kwa ‘kuwekwa kiporo', waliofukuzwa kazi na, waliogawana ule mkwanja, waliokosa ule...
1 Reactions
0 Replies
981 Views
MTU mmoja alifariki na kwenda jehanamu. Kufika huko akakuta kuna jehanamu tofauti tofauti kwa kila nchi. Akaamua kuzunguka zunguka ili aweze kuipata jehanamu yenye maumivu kidogo zaidi. Akaiendea...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana Jamii wengi mliosoma Zamani mtakuwa mnakumbuka Kitabu cha Shule ya Msingi enzi za Mwalimu, moja ya Hadithi nzuri ilikuwa ni SIKU YA GULIO KATERERO, naweza pata wapi hiki kitabu.
2 Reactions
17 Replies
7K Views
Waleteni wawadabishwe
1 Reactions
2 Replies
3K Views
What is GOBE? GOBE is when you give a beautiful girl a lift nd she faints in your car, you take her to the hospital nd when you get there, the doctor says she's pregnant nd congratulates you...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa gwiji la hoja na mwanasiasa kijana kabisa katika siasa za kiswahili nchini ndugu mohamed Mtoi Mtoi ni mmoja ya matunda imara ya chadema katika kukuza na kulea vijana...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Yaani umehingia Peponi tu unaona mijamaa ya CCM ileile inayoifisadi nchi yako ya Tanzania ,itakuwa kizaazaa Peponi.Utamfanyaje ?
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Back
Top Bottom