I Don't know what's ahead of me. I don't know how Long will i Live. I don't know what will happen to me, with my Family, My work, Friends and everything. I simply Know nothing about what will...
kuna jamaa mmoja kila siku anapita na gari yaje bank usiku then anapiga honi mlinzi akitoka jamaa anaondoka
baada ya kupita muda yule mlinzi akakasirika maana jamaa anamsumbua.. siku moja...
Jamaa: Hello mrembo, samahani, una mpenzi?
Binti: Hapana. Sina mpenzi.
Jamaa: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana...
1. Wanapenda sana raha ila hawapendi kufanya kazi.
2. Wanapenda sana kufanya Biashara za Magari, Baa, Club, and Eti umwambie awe afanye kazi ya Kilimo unajisumbua.
3. Wanapenda sana wadada...
Mtangazaji wa Clouds jana alitoa mpya pale aliposema kuwa vitu vyote vitam huanziwa na herufi K... Alitaja baadhi ya vitu hivyo kama Kitumbua, Kalimati, Kababu, n.k (Siwezi kuvikumbuka vizuri)...
Baada ya mc kujaribu kila namna ili kuufanya ukumbi,uchangamke kwa furaha ya utani wa hapa na pale.
Alijikuta kapoteza muelekeo na kumtania bibi harusi ambaye alikuwa kashika kipaza sauti tayari...
Nipo hapa Crystal Palace Hotel Bungoni nimewasili kutoka Kahama na Basi la Green Star,baada ya kuoga nimekaa kwenye Meza napata Msosi, kando yangu kuna wanawake wawili Na mwanaume mmoja wote...
Habarini waungwana. Jamani naomba mnielimishe katika hili, hivi kutembelewa na ndugu kwa kipindi chao cha likizo ni sawa ama na vipi kuna limitation yani labda aje mtoto mmoja tu au waje wawili...
...
....Aisee Mwalimu Mbagale enzi hizo alichapa sana viboko zamu yake kama tuko jeshini ..kipindi cha mavuno ya maembe na zambarau viboko vilishamiri sana!!!
aiseeh kumbe na mimi nilikuwa...
WAMASAI: Mama Yeyo nipe ile kitu namesa mwensake
WAHAYA: Mama Koku infacti njoo tuperform
WACHAGA: Mama Manka Fungua Kibubu nitupe shilingi
WAPEMBA: Mama Ali panua paja nti waja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.