Dogo ukikutana na CCM peponi utafanya nini ?

Dogo ukikutana na CCM peponi utafanya nini ?

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Yaani umehingia Peponi tu unaona mijamaa ya CCM ileile inayoifisadi nchi yako ya Tanzania ,itakuwa kizaazaa Peponi.Utamfanyaje ?
 
Sio kila mtu lazima aanzishe thread wengine tukubali kuwa wachangiaji
 
CCM lazima linyooshe mkono :becky: lazima nikwambie umekosea njia ,kama kuna malaika karibu nambeep !
 
Yaani umehingia Peponi tu unaona mijamaa ya CCM ileile inayoifisadi nchi yako ya Tanzania ,itakuwa kizaazaa Peponi.Utamfanyaje ?

Namtoa kwa kumvusha kwenye ukuta kama geti limefungwa. 😀😀
 
Sitaamini kama ni peponi huko. Ntaondoka huko haraka sana.
 
Nitarudi kwa malaika alienielekeza na kumuuliza "hivi umesema huku ni peponi au jehanamu? manake asijekuwa alikosea kunielekeza.
 
naanzisha bifu, yatarushwa matofali, pepo nzima hawatoamin
 
Mi ntazingua sana namwita tundu lisu tukate rufaa kahakama juu ya huko
 
Back
Top Bottom