Sikonge
Platinum Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,238
Jana nimejikalia kwangu, sijui hili wala lile, nakula mziki kwenye headphone zangu za AKG, nikasikia mtu anagonga mlango wa geti kwa nguvu sana. Nilipoenda kuangalia, naona m-Zigo umetua mlangoni na macho yamemtoka pima kwa woga Mtoto wa Mwanaume mwenzangu.
Nilifungua na Zigo mbio ndani hadi chumbani.
Nilimpa maji aoge na chakula akala na mie nikashukuriwa kwa kumwokoa kutoka mikono ya Panya Road wadhalimu.
Asanteni Panya Road, mmeifanya siku ya jana kuwa njema sana kwangu. Labda nitachonga kabisa mzinga.
Happy new year.