Nimekaa nimefikiria sana kwamba eti vitoto vidogo vimewalaza watu saa 12 nikajiuliza hivi huko Dar hakuna wanaume kweli mjini mzima unalazwa saa 12 na vitoto visivyozidi mia,
tena mnarudi...
Hii nyumba sijui ina wachawi wajameni yani nimesema nijiegeshe kidogo si nimeota nawapigia mbuzi gitaa takribani mbuzi 100 cha ajabu wakaanza nao kucheza kwaito eeehh mungu nisaidie mimi hawa...
Jamani nataka niwatume Ulaya na Marekani mara muende mkawatafute hawa wachagga warudi Kilimanjaro tangu wameondoka hawataki kurudi kwao Kilimanjaro na Krismas ndiyo imekaribia waje kuhesabiwa...
Thank you my love for everything ur doing for me and for our love...
Tumetimiza miaka miwili sasa.
Tokea ulipokubali ombi langu.
2Years/ Anniversary...
Yes we are going somewhere, soon...
Kulengana Na Utafiti Wa Dr Mwana Wa Visa Imebainika Kuna Faida Tatu Za Uvutaji Sigara. (1) MVUTAJI SIGARA HAWI MZEE: Inamaanisha Kila Anaevuta Sigara Hufa Akiwa Kijana Na Huwa Vigumu Kwake Kufika...
Wanasiasa Tanzania wazua balaa, kwa kutumia neno cake 🎂 ya taifa. Matukio yaanza kujitokeza.
Mwananchi mmoja kutoka mkowa mmoja jina (********) alikuja dar es salaam kuuza mazao yake...
1. Habari zenu wana team.
2. Habari zenu ma single lady wote.
3. Habari zenu ma single boys wote ambao mnaharibu mabinti wawatu mahusiano Miaka mitano na hakuna hata dalili ya Ndoa.
4. Habari...
Salamu wanajamvi naomba kusaidiwa
1. Gari Rav4 na Escudo ipi imara
2. Ipi inahimili changamoto za barabara isiyo ya lami
Na 3.,Nishauri kampuni gani ya nje (Japan) naweza kupata gari nzuri yenye...
hatimaye mwenyekiti wa yanga afanikiwa kuingia ofisi za FIFA kukata rufaa kuhusiana na suala la emmanuel okwi. manji alionekana akiwa amechoka mwenye mawazo na hasira alionekana akiwa anataka...
babu alimuandikia mjuu wake barua aliyekua jela
" mjukuu wangu mwaka huu sitapanda viazi hapa shambani kwetu kwani sina nguvu ya kulima najua ungekuwapo ungenisaidia"
mjuku akajibu "usifikirie...
nikipindi kirefu sana sionekeni humu jamvini lakn yote hiyo ilisababishwa na mimi kumkashifu mkulu wa Kaya ndio sababu iliyonipeleka kifungoni.
nilishidwa hata kuwapa salam za x-mas na mwaka...
Kuna dogo mmoja mwanafunzi wa darasa la kwanza , sasa si unajua tena walimu wanapenda kufundisha kwa mifano halis ili watoto waelewe ,
Mwalimu. Ehee Musa mama kaweka mandazi matatu mezani akaupa...
Ongezeko la wanawake wanaondesha magari jiji la Dar limekuwa kubwa sana na wanawake hao wamekuwa wakivaa nguo fupi kwa makusudi kabisa.
Hivyo mimi SUPU YA MAWE nina mpango wa kukagua mapaja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.