Hili ni tusi jipya, very brand new

Hili ni tusi jipya, very brand new

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,157
Reaction score
166,104
Jamaa alikuwa anaumwa akapita kituo cha taxi akaikuta taxi moja, akamuomba sana taxi dreva ampeleke hospitaji lakini fedha yake ilikuwa ndogo, kitu cha ajabu dreva alimporomoshea jamaa matusi ya nguoni na kumwambia akapande bodaboda kama hana hela.

Wiki mbili baadae jamaa akawa amepona na anapesa mkononi, akaenda kituo cha taxi akakuta taxi nne ikiwemo ya yule dreva aliyewahi kumtukana, akamwendea dereva wa kwanza;

JAMAA: Natafuta dereva wa taxi shoga niondoke nae ntamlipa laki

DEREVA 1: We mwenda wazimu nini hebu toka hapa.. Jamaa akenda taxi ya pili

JAMAA: Natafuta dereva shoga niondoke nae ntamlipa laki

DEREVA 2: Pumbavu mkubwa toka hapa

Hatimae jamaa akaenda kwa yule taxi dreva aliyewahi kumtukana

JAMAA: Aise sijui unaweza kunipeleka Ubungo?

DEREVA: Ndio shilingi alfu kumi

JAMAA: Haya twende....wakati wanaondoka jamaa akahakikisha anapungia mkono wale madereva waliobaki kituoni huku akionyesha alama ya kidole gumba. Akiwaacha midomo wazi
 
Duh usiombe kufanyiwa ivyo.jamaa atakua anakosa kauli hapo kijiweni
 
Yallaaaaaaah...... Jamaa lazima ahame kijiwe
 
Ni bonge la ujanja jamaa alilotumia..
Kijiweni hapo watajua jamaa ndiyo hivyo tena, duuh!!
 
Jamaa alikuwa anaumwa akapita kituo cha taxi akaikuta taxi moja, akamuomba sana taxi dreva ampeleke hospitaji lakini fedha yake ilikuwa ndogo, kitu cha ajabu dreva alimporomoshea jamaa matusi ya nguoni na kumwambia akapande bodaboda kama hana hela.

Wiki mbili baadae jamaa akawa amepona na anapesa mkononi, akaenda kituo cha taxi akakuta taxi nne ikiwemo ya yule dreva aliyewahi kumtukana, akamwendea dereva wa kwanza;

JAMAA: Natafuta dereva wa taxi shoga niondoke nae ntamlipa laki

DEREVA 1: We mwenda wazimu nini hebu toka hapa.. Jamaa akenda taxi ya pili

JAMAA: Natafuta dereva shoga niondoke nae ntamlipa laki

DEREVA 2: Pumbavu mkubwa toka hapa

Hatimae jamaa akaenda kwa yule taxi dreva aliyewahi kumtukana

JAMAA: Aise sijui unaweza kunipeleka Ubungo?

DEREVA: Ndio shilingi alfu kumi

JAMAA: Haya twende....wakati wanaondoka jamaa akahakikisha anapungia mkono wale madereva waliobaki kituoni huku akionyesha alama ya kidole gumba. Akiwaacha midomo wazi

Haahaa🙂. Taxi driver mwenye madharau hapo hata bila kuguswa kimwili, kaishafanywa shoga kwa zoezi lililofanyika hapo kijiweni kwake!
 
Back
Top Bottom