Heri ya kuzaliwa Mohamedi Mtoi

Heri ya kuzaliwa Mohamedi Mtoi

Yericko Nyerere

Platinum Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,027
Reaction score
20,519
Leo ni siku ya kuzaliwa gwiji la hoja na mwanasiasa kijana kabisa katika siasa za kiswahili nchini ndugu mohamed Mtoi

Mtoi ni mmoja ya matunda imara ya chadema katika kukuza na kulea vijana nchini ili waje kuwa viongozi bora baadae.

Kwa utaifa wetu tuseme heri ya kuzaliwa mwanasiasa kijana nchini!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Happy bday champion

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hongera Mtoi....tumia umri wako kuongezeka kwa manufaa ya Chadema na Taifa. Tunawaitaji vijana kama ninyi.
 
Hivi hiyu Mohamed Mtoi si ndo yule alimtoa ndugu yake kafara kule Soweto?
 
Tunajumika nae kumtakia maisha marefu.
 
Back
Top Bottom