Bonny Masih
Senior Member
- Apr 20, 2014
- 120
- 31
Hii nyumba sijui ina wachawi wajameni yani nimesema nijiegeshe kidogo si nimeota nawapigia mbuzi gitaa takribani mbuzi 100 cha ajabu wakaanza nao kucheza kwaito eeehh mungu nisaidie mimi hawa majini tu mungu wangu