Wana JamiiForums nawapenda sana

Wana JamiiForums nawapenda sana

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
nikipindi kirefu sana sionekeni humu jamvini lakn yote hiyo ilisababishwa na mimi kumkashifu mkulu wa Kaya ndio sababu iliyonipeleka kifungoni.

nilishidwa hata kuwapa salam za x-mas na mwaka mpya wana-mmu na wana-jf kwa ujumla.
kibanafsi nawependa wote na pamoja kwamba nilichelewa kutoa salam zangu lakn naomba kuwatakia kila la kheri katika mwaka huu mpya 2015, sitajisikia vzr kama nikiacha kuwapa salamu zangu za dhati shemeji yangu Khantwe kimpenzi changu loveissweet pamoja na wakina mama wote hapa jf waliobandilisha mtazamo wangu kutokana na michango yao hapa jf, kama miss chagga miss neddy Heaven Sent Heaven desert Mama Joe Tumboo lara1 mwallu na wakina mama wote kwa kweli siwezi nikawataja wote lakn siyo kwamba siwajui nawajua sana kama mamaafacebook n.k

sitakuwa mwingi wa rehema kama nitaacha kuwashukuru wanaharakati wenzangu kama utafiti Tyta Tee Bag @M011 watu8 Utotole Tized Ntunzu chakii
MziziMkavu kabanga big_in UHURU JR mshana jr KikulachoChako Invisible Mhariri n.k
 
Last edited by a moderator:
Thanks much mkuu Shy land. Hope 2015 utakuwa mwaka wa baraka kwako, Mungu awe nawe daima.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Shyland hivi Bush land hamtoki kijiji kimoja huko Shinyanga?
 
Last edited by a moderator:
Shy land pole kwa yaliyokukuta, jela kusikie tu
 
Last edited by a moderator:
Shemeji yangu Shyland pole bwana...heri ya mwaka mpya na kwako pia.
 
Last edited by a moderator:
Shemeji yangu Shyland pole bwana...heri ya mwaka mpya na kwako pia.

Asante sana shemeji yangu Khantwe na wewe nakutakia kila la kheri liwe juu yako katika mwaka huu mpya. katika kipindi chote hicho nilichokuwa kifungoni niliutumia mda mwingi sana kusoma biblia kuhusu swala la kuona/ kutoolewa je? ni sahihi. jiandae mda wowote kuifahamu kweli ni ipi. sawa shem.
 
Sawa shem mi kweli naijua ila napenda kujifunza zaidi na zaidi.... Btw mi si nimeolewa na ndugu yako lol
 
Last edited by a moderator:
Sawa shem mi kweli naijua ila napenda kujifunza zaidi na zaidi.... Btw mi si nimeolewa na ndugu yako lol

ni sawa hata mimi niko tiyari kujifunza zaidi kupitia wewe ndio maana nikalazimika kuongeza mda wa kujisomea biblia ili niongeze maarifa kwa sababu yako, isigelikuwa ni wewe nisegelifanya hivyo. thanks
 
asante Shy land sitake kwenda jela tena sawa uwe mtoto mzuri mwaka huu 2015... ili uweze kuchangia kwenye kampani za mitandaoni si unajua mwaka wa uchaguzi ukigusa ikulu ban
 
Last edited by a moderator:
asante Shy land sitake kwenda jela tena sawa uwe mtoto mzuri mwaka huu 2015... ili uweze kuchangia kwenye kampani za mitandaoni si unajua mwaka wa uchaguzi ukigusa ikulu ban

asante sana na kila la kheri liwe juu yako katika mwaka huu mpya.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom