Msaada tutani: Gari Rav4 na Escudo

Msaada tutani: Gari Rav4 na Escudo

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,318
Reaction score
12,824
Salamu wanajamvi naomba kusaidiwa
1. Gari Rav4 na Escudo ipi imara
2. Ipi inahimili changamoto za barabara isiyo ya lami
Na 3.,Nishauri kampuni gani ya nje (Japan) naweza kupata gari nzuri yenye mileage chache,na isiyo na ubabaishaji.
Natanguliza shukrani wadau.
 
Rav4 imala na spare zinapatikana virahisi na tumia Autorec ila bei iko juu kidogo
 
Gari ngumu Rav4........kampuni beforward.jp........karibu sana
 
Be forward ndo kampuni pekee inayonunua maghari ya bei ndogo na yalichoka zaidi kwenye minada ya magari Japan, lakini kwa hapa Bongo kutokana na uwezo mdogo kifedha inabidi tuwakimbilie wao kutokana na bei zao.
 
Kwa hiyo mkuu unashauri nitafute kampuni nyingine Nataka gari yenye mileage isiyozidi 70 elfu na ambayo ipo ktk hali nzuri,budget yangu haizidi $6000 nitapata
 
Kwa amount hiyo utapata gari nzuri tu, hata hao Be Forward wanazo hata za chini ya hiyo mileage lakini conditions ya gari zao ni poor kulingwnisha na kampuni nyingine. Zipo kampuni km SBT, CAR TRADE VIEW, AUTOREC na nyinginezo, hawa wote wana ofisi Dar, just try them bro!
 
Asante mkuu nimekuwa na wasiwasi kwani ni mara ya kwanza kununua gari online,kwa hawa uliowataja sikujua kama wana ofisi Dar,nadhani nitawacheck japo sijajua location ya ofisi zao,mbali na befoward ambao Naelewa walipo.
 
Back
Top Bottom