C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,080
- 3,771
1. Wanapenda sana raha ila hawapendi kufanya kazi.
2. Wanapenda sana kufanya Biashara za Magari, Baa, Club, and Eti umwambie awe afanye kazi ya Kilimo unajisumbua.
3. Wanapenda sana wadada wenye majina kuingia nao kwenye uhusiano wakitegemea watasaidia kupata connections za kufanikiwa.
4. Wanajuana na karibu na kila mtu mjini hasa wenye vitengo fulani mfano
Tra, Tpa, Nssf wewe unaefanya Kazi sijui clearing and forwarding imekula kwako.
5. Wana Magari ya ukweli ila ukija kuona anapokaa utachoka mwenyewe.
6. Wakwepaji wa Kodi wakubwa.
IMEONGEZWA BAADA YA KUDOKEZWA NA MDADA MMOJA WA MJINI
7. Hawana Nguvu za kiume
8. Wengi wao ni vibamia kama yule bilionaire mwenye mradi wa parking
9. Wengi wao ni wafanya biashara za ujanja janja
Sembe
Magendo
Itaendelea kuongezwa