Sasali: Vitu Vitamu Huanzia na Herufi K!

Sasali: Vitu Vitamu Huanzia na Herufi K!

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,734
Mtangazaji wa Clouds jana alitoa mpya pale aliposema kuwa vitu vyote vitam huanziwa na herufi K... Alitaja baadhi ya vitu hivyo kama Kitumbua, Kalimati, Kababu, n.k (Siwezi kuvikumbuka vizuri).
Wasi wasi wangu ilikuwa asije kuchafua hali ya hewa kwa kuorodhesha na kile kiungo kinacho anziwa na herufi K! watoto nao wakapata siri hii wakajua mema na mabaya!
Kwa kweli nimempenda na ka stail kake ka kucheza (kutwist) brains zetu!
 
Embu funguka kiungo hicho kiko kwa wanume au wanawake ,huyo mtangazaji alikuwa na lake tu ila ameliwakilisha kiaina ,watu wengine ni hatari sanah !:A S wink:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom