Zekidon JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 1,903 Reaction score 569 Jan 9, 2015 #1 Kwanini mtu akipata Pesa lazima atembee Mikono kaitanua kama anataka kupaa au ana Jipu kwapani. Kuna uhusiano gani kati ya fedha na mikono kutanuka.
Kwanini mtu akipata Pesa lazima atembee Mikono kaitanua kama anataka kupaa au ana Jipu kwapani. Kuna uhusiano gani kati ya fedha na mikono kutanuka.
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3,059 Reaction score 2,161 Jan 9, 2015 #2 sio wote
WABALLA Inc JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 2,711 Reaction score 1,018 Jan 9, 2015 #3 delako said: sio wote Click to expand... Na mi huwa naona wale wanaofanya mazoezi ndo wanatembea hivyo!
delako said: sio wote Click to expand... Na mi huwa naona wale wanaofanya mazoezi ndo wanatembea hivyo!
zaratustra JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 848 Reaction score 225 Jan 9, 2015 #4 Mimi nimepata hela lakini sina majipu wala sitaki kupaa!!:embarrassed::embarrassed::embarrassed:
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jan 9, 2015 #5 Watu wa hivyo wanasumbuliwa na ugeni
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Jan 9, 2015 #6 Hivi unahakika au ndio nini?