Enjoy your birthday

Enjoy your birthday

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Je ni lini siku yako ya kuzaliwa.Je unaiandaaje siku yako ya kuzaliwa.Je unaiazimishaje siku yako ya kuzaliwa
je ni starehe gani huwa inachukua nafasi kubwa kwenye siku yako ya kuzaliwa.
:Kulewa.
:Kupumzika.
:Kujirusha.

Let us learn from u.
 
Back
Top Bottom