Aisee ukiitazama tanzania kwa jicho la tatu utabaini mambo yafuatayo.

madeinmusoma

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
322
385
1.ngono ni bure lakini mapenzi biashara
2.mabinti huumia zaidi wakipoteza simu kuliko bikra
3.mtu akiwa mwaminifu anaonekana dhaifu na mshamba kama mimi.
4.mabafu yamegeuzwa studio za kupigia picha za utupu
5.ukiwa na samsung galaxy unaheshimika zaidi ya mwenye degree. TANZANIA tunakwenda wapi cjui....🏃🏃
 
Unaonekana unachanganua mambo national wide and not international ..... Tunakwenda uchaguzi mkuu ....good evening

Utafikiria hizo bikra tunajitia vidole kizitoa ..
 
ahaa... sasa jicho langu la tatu na nusu linaniambia unataka kuwatupia lawama wanaume...! Au jicho langu limechanganua vibaya?

situpi lawama kwa yeyote bikra kutoka dushe linahusika kwa nini aangalie tanzania kwa kutumia kigezo cha wanawake ?
 
Back
Top Bottom