KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Miaka 3 iliopita nimekuwa katika matatizo makubwa sana.Nawashwa sana ukeni hospital wanasema ni fungus natumia dawa baada ya wiki tatizo linarudi pale pale nimekuwa mtu wa kujikuna muda wote uke unawaka moto.
Kwa kujikunanimeendelea na tiba mpaka likaibuka tatizo lingine kila ninapofanya tendo ndoa napata maumivu ambayo hayaelezeki wakati mwingine mpaka naanza kubleed.kurudi tena hosp wakasema nipime vipimo vya kansa...ikabidi watoe kinyama ndani na kufanya vipimo.
Majibu yalipotoka wakasema hakuna kansa,lakini tatizo linazidi kuongezeka siwezi tena kufanya tendo la ndoa lakini madaktari katika vipimo vyao wakagundua ndani ya uke kwenye mlango wa kizazi kuna wekundu mwingi sana,badala ya rangi ya pink.kumbe ile rangi nyekundu ni sehemu ambayo inashambuliwa sana na bacterial wasiosikia dawa.
Wakajaribu kupeleka dawa hapo kwenye hilo eneo lililoathirika bado ilishindikana kuwaua walikuwa bado wanaonekana wanashambulia.ikabidi madatari muhimbili waniulize jinsi ninavyofanya usafi ktk uke wangu..nikawaeleza ukweli nilichokuwa nafanya.
Nasafisha kwa kuingiza vidole ndani, najiingiza asali na pamba ili uke uwe umebana vingine vingi tu. tunavyoshauria wasichana viunga ukemadaktari wakaniambia sababu ya matatizo yangu ni nimeua bakteria wote ambao ni walinzi ndani ya uke ndio maana uke wangu umeshambuliwa sana sana na bacteria ambao hawasikii dawa.
Ndugu zangu makungwi wenzangu leo hii nalia peke yangu,nilikuwa nikiunga sana uke wangu kwa viungo na naingiza vidole vyenye kucha ndefu, sabuni ili kuokoa maisha yangu. Madaktari wamesema ni lazima wanitoe kizazi changu sababu nikiacha itageuka kuwa Kansa .Hali yangu ni mbaya bado binti mdogo natolewa kizazi miaka 29 ,siku ya jumatatu ndio nafanyiwa operation ya kutolewa kizazi.Naomba mniweke katika sala zenu operation iende salama.
Nawapenda wote.