Wanywaji wa pombe kwanini tunayo hii tabia?

Wanywaji wa pombe kwanini tunayo hii tabia?

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,396
Reaction score
9,264
Unaenda sehemu zako za starehe unakutana jamaa zako wawili watatu lakini mmoja anakwambia, ''Ndugu yangu, mwenzio leo nina hali mbaya, sasa badala ya kuninunulia hizo bia mbili, nisaidie hata elfu mbili tu'',
Lakini unampotezea na kumwambia hela huna ila akisema anakunywa hela ipo.

Uko radhi kumnunulia hata bia kumi lakini sio kumpa hela.
 
Developed countries wanatoa msaaada wa siraa ukiwa na vita na wanakunyima chakula ukiwa na njaa nchini mwako. Ni kazi ya shetani
 
Yaani na akili zako unakwenda baa kumuomba mlevi hela ya chakula!
 
wanachokera zaidi anatema mate huku halafu anafukia upande mwingine ambao hata hakutemea hayo mate
 
Back
Top Bottom